Filamu ya The Force Awakens imezua msisimko mkubwa duniani, hapa ni msemaji wa White House Josh Earnest na baadhi ya wahusika |
Filamu ya The Force Awakens ilionyeshwa mara ya kwanza 14 Desemba
Star Wars pia iliandikisha historia ya kupata mauzo zaidi ya tiketi Siku ya Krismasi nchini Marekani kwa kuuza $49.3m (£33.2m).
Filamu hiyo ya The Force Awakens ndiyo ya saba katika mwendelezo wa filamu za Stars Wars na lieonyeshwa kwa mara ya kwanza Los Angeles tarehe 14 Desemba.
Filamu hiyo imeshirikisha waigizaji kutoka kwa filamu ya kwanza kabisa Harrison Ford, Mark Hamill na Carrie Fisher na wageni wakiwemo John Boyega na Daisy Ridley.
|
No comments:
Post a Comment