• Seynation Updates

    Wednesday 6 January 2016

    PAULA: SIVUTIWI NA KAZI YA MAMA ANGU KAJALA

    Mtoto wa Kajala Akerwa na Kazi ya Mama Yake

    KAJALA76
    Kajala akiwa na mtoto wake, PaulaMTOTO wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula, ametoa mpya baada ya kudai kuwa havutiwi na sanaa anayofanya mama yake, isipokuwa anapenda zaidi uanamitindo.
     mtoto huyo alisema anavutiwa zaidi na Hamisa Mobeto, ambaye licha ya kuigiza, lakini anatumia sehemu kubwa ya muda wake kufanya uanamitindo, kitu ambacho ni ndoto yake.
    “Mimi sijawahi kuvutiwa na kucheza filamu kama mama bali navutiwa na Hamisa Mobeto ambaye anaigiza kidogo sana, mara nyingi anafanya uanamitindo na mimi baadaye nitafuata nyayo yake,” alisema.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI