• Seynation Updates

    Monday, 28 March 2016

    WAFAHAMU WACHEZAJI WANAOCHELEWA MAZOEZINI FC BARCELONA


    Kocha wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Enrique ameweka utaratibu kwa wachezaji wa klabu hiyo kupigwa faini kama hawatakuwa na utamaduni wa kuheshimu muda, lengo la Enrique ni kuhakikisha kila mchezaji aweze kwenda na muda.
    March 25 Gerrard Pique ndio ametajwa kuongoza kwa uchewaji zaidi ndani ya klabu hiyo akifutiwa na Neymar, Adriano na Arda Turan. Hiyo ndio list ya wachezaji wa klabu hiyo wanaoongoza kwa kuchelewa wakati wa mazoezi na mechi.
    Bar
    Wachezaji wa FC Barcelona huwa wanapigwa faini ya euro 200 ambazo ni zaidi ya shilingi laki nne za kitanzania kwa kosa la kuchelewa mazoezini, lakini hupigwa faini ya euro 400 ambazo ni zaidi ya shilingi laki nane za kitanzania, kama utachelewa wakati wa mechi.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI