• Seynation Updates

    Monday, 12 September 2016

    CRISTIANO RONALDO AKILA BATA NA MWANAE

    Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameamua kuchukua mapumziko ya muda mfupi kwa kujiachia na mwanaye wa kiume kisha kutupia picha kwenye ukurasa wake wa Instagram.


    Ronaldo akiwa amevaa miwani na wigi walionekana ni watu wenye furaha ikiwa ni muda mfupi baada ya Ronaldo kuisaidia timu yake kupata ushindi wa mabao 5-2 katika La Liga dhidi ya Osasuna.

    Nyota huyo mwenye umri wa miaka 31, alikuwa nje muda mrefu kutokana na kuuguza majeraha ya mguu ambapo aliumia katika fainali ya Euro 2016.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI