Kocha wa klabu ya soka ya Manchester United, Jose Mourinho amefunguka nakutoa mtazamo wake kwa timu ambazo zipo juu yao zimewazidi pointi.
“Ninapoangalia timu nyingi zilizopo juu yetu kwenye msimamo hazistahili kuwa pale kwa sababu kwa kiwango cha kandanda tunazifunika sana!” anasema Jose Mourinho.
Manchester United ambao kwasasa wanashika nafasi ya 6 wakiwa na alama 30 katika msamamo wa ligi kuu ya Uingereza huku klabu ya Chelsea ikiwa ndio inaongoza ligi hiyo ikiwa na alama 43.
No comments:
Post a Comment