• Seynation Updates

    Tuesday, 20 December 2016

    YANGA YATUPWA KUNDI LA KIFO,KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

    mapi
    Ratiba ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi imetolewa na chama cha soka visiwani Zanzibar ambayo yanatarajiwa kuanza Desemba 30 ,2016 huku Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Tanzania bara Yanga imetupwa kundi B linaloitwa ni la kifo.
    Mwaka jana Yamga ilitolewa katika hatua ya nusu Fainali baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya JKU huku ikiweka rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi timu ambazo zinaunda kundi hilo la B:Yanga,Azam FC zote za Dar es salaam pamoja na Zimamoto na Jamhuri za Zanzibar.
    Kundi A:Simba ya Dar es salaam,URA ya Uganda ambao ni mabingwa watetezi wa kombe hilo,KVZ na Taifa ya Jang’ombe na Jang’ombe Boys.
    Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi Desemba 30 hadi Janauari 13 kwenye uwanja wa Amani Zanzibar huku Taifa ya Jang’ombe inayotoka Mpendaye itakutana na mahasibu wao wakubwa Jang’ombe Boys majira ya saa 2:30.
    TAZAMA RATIBA KAMILI YA MICHUANO HIYO YA  KOMBE LA MAPINDUZI.
    Desemba 30, 2016
    Taifa Jang’ombe vs Jang’ombe Boys (Saa 2:30 usiku)
    Januari 1, 2017
    KVZ VS URA (Saa 10:00 jioni)
    Simba vs Taifa Jang’ombe (Saa 2:30 usiku)
    Januari 2, 2017 
    Azam vs Zimamoto (Saa 10:00 jioni 
    Yanga vs Jamhuri (Saa 2:30 usiku)
    Januari 3, 2017 
    Jang’ombe Boys vs URA (Saa 10:00 jioni) KVZ vs Simba (Saa 2:30 usiku)
    Januari 4, 2017 
    Zimamoto vs Yanga (Saa 10:00 jioni)
    Jamhuri vs Azam saa 2:30 usiku.
    Januari 5, 2017
    KVZ vs Jang’ombe Boys (Saa 10:00 jioni)
    Simba vs URA (Saa 2:30 usiku)
    Januari 6, 2017
    Taifa Jang’ombe vs KVZ (Saa 2:30 usiku)
    Januari 7, 2017
    Jamhuri vs Zimamoto (Saa 10:00 jioni)
    Yanga vs Azam (Saa 2:30 usiku)
    Januari 8, 2017 
    Simba vs Jang’ombe Boys (Saa 10:00 jioni) Taifa Jang’ombe vs URA (Saa 2:30 usiku).
    Januari 10, 2017
    Nusu Fainali ya kwanza (Saa 10: 00 jioni)
    Nusu Fainali ya Pili (Saa 2:30 usiku)
    Januari 13, 2017
    FAINALI
    Saa 2: 30 usiku.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI