Huu mwaka huu ni shidahh, Wolper alitumia kurasa yake ya Instagram kusema Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love, Rapper Nicki Minaj nae amefunguka kwenye kurasa yake ya Twitter kwamba “To confirm, yes I am single,”
Baada kuwa na tetesi nyingi mitandaoni kuhusu penzi la Meek na Minaj kuwa halipo, Sasa tunaweza kusema kwamba penzi la Nicki Minaj na Meek Mill ni officially limeisha, ishu hiyo ambayo inatufanya sisi tuamini kwamba wawili hao hawako tena pamoja ni kutokana na tweet ambayo aliitoa Nicki Minaj jana tarehe 5, Alhamisi kwa kusema kwamba “To confirm, yes I am single, Focusing on my work & looking forward to sharing it with you guys really soon. Have a blessed New Year. Love u.”
To confirm, yes I am single. Focusing on my work & looking forward to sharing it with you guys really soon. Have a blessed New Year. Love u— NICKI MINAJ (@NICKIMINAJ) January 5, 2017
Kutengana huko kumekuja baada ya video ya Meek Mill kujirekodi live video kwenye Instagram kwa kusema kwamba “I need love” huku akiwa anasikiliza ngoma ya LL Cool J’s classic.
Wengi hatufahamu mahusiano yao yalianza vipi ila tunachojua ni kwamba wawili hao walianza kuonyesha mapenzi yao hadharani mwaka 2015, kuvunjika kwa mahusiano yao kulianza kugunduliwa taratibu baada ya wawili wote kumunfollow mwenzake kwenye page zao za Instagram.
Ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye FACEBOOK na INSTAGRAM @seynation ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia.
No comments:
Post a Comment