Rais Donald Trump ataanza kupitisha maamuzi ya juu kuhusiana na masuala ya uhamiaji kuanzia Jumatano hii, akianza na kuimarisha ulinzi wa mpakani, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani.
Rais huyo pia anatarajiwa kupiga marufuku kwa muda kuingia kwa wahamiaji kutoka katoka nchi za Kiislamu wanaoweza kuhusika na ugaidi zikiwemo Syria, Iran, Iraq, Libya, Yemen, Sudan na Somalia.
‘Big day planned on NATIONAL SECURITY tomorrow,Among many other things, we will build the wall,” alitweet.
Uamuzi huo ni miongoni mwa mambo aliyokuwa ameahidi wakati wa kampeni.
No comments:
Post a Comment