• Seynation Updates

    Tuesday, 27 June 2017

    COLLABO YA RAYVANNY NA JASON DERULO



    WCB Super Star RayVanny amefanya wimbo na RnB Star kutoka Marekani Jason Derulo. Wasanii hawa wamerekodi ngoma mpya kwenye nyumba ya Jason mjini Los Angeles, Nchini Marekani.
    RayVanny ambaye ni mshindi wa tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New International Act 2017 alikutana na Jason Derulo kwa mara ya kwanza kwenye kazi za Coke Studio nchini Kenya.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI