Wema Sepetu; nilijua Rayvanny atashinda tuzo hii niliposikia…..
By
|
Tanzania Sweet Heart na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ametoa hongera zake kwa msanii wa WCB Wasafi Rayvanny baada ya kushinda tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New International Act 2017.
- Wema kupitia IG yake anasema alijua Rayvanny atashinda alivyosikia anawania tuzo hii….
“Hongera sana… Well Deserved…!!! Sio kwa Nyimbo zako zilivyo Kali…. I knew hii tuzo ni yako nilivyoskia tu umekuwa nominated…. @rayvanny “