• Seynation Updates

    Friday 25 August 2017

    Ronaldo ametangazwa kuwa mchezaji bora UEFA 2016/2017.




    Baada ya Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo Alhamisi ya August 24 2017 mjini Monaco Ufaransakuchezesha droo ya hatua ya makundi ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018, walitangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya 2016/2017.
    Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea Real Madrid Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya 2016/2017 kwa kumshinda mpinzani wake mkubwa Lionel Messi wa FC Barcelona na golikipa wa Juventus Buffon.
    Kutoka kushoto ni Messi, Buffon na Ronaldo
    Ronaldo kwa msimu wa 2016/2017 ambapo ameshinda pia tuzo ya mshambuliaji bora 2016/2017, alikuwa na msaada mkubwa kwa club yake ya Real Madrid msimu uliyomalizika lakini ameifungia magoli 12 na kutoa assist 6 katika michuano ya UEFA Champions League.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI