SERIKALI YA TZ YAINGILIA KATI SIKUKUU ZA KRISMASI. JE INA MALENGO GANI????
Serikali ya JWM Tanzania imetoa agizo kuwa uchapishaji wa kadi za Krismasi
uchapishaji na utengenezaji wa kadi za Chrismass kuwa usifanyike bali
gharama ya utengenezaji wa kadi hizo zitumike kwenye miradi ya maendeleo nchini
No comments:
Post a Comment