• Seynation Updates

    Friday, 18 December 2015

    BAADA YA JOSE MORINHO KUTUMBULIWA JIPU....... NANI MRITHI WAKE..

    Aliyekuwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho anatajwa kuwa alikuwa kamjumuisha katika mipango ya Chelsea mshambuliaji wa klabu ya Southampton Graziano Pelle ili kutatua tatizo la ushambuliaji ambalo linaikumba klabu hiyo kwa sasa
    .


    Klabu ya Chelsea inatajwa kumleta Hiddink ili awe mrithi wa Mourinho




    Klabu ya Chelsea inatajwa kumleta kocha wa kirusi aliyewahi kuifundisha klabu hiyo Guus Hiddink ili arithi mikoba ya Jose Mourinho ambaye anatajwa kutofikia malengo ya klabu kwa msimu huu






    Jose-Mourinho110

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI