Mwimbaji fulani wa nyimbo za Injili aliwahi Kuimba #Utanitambuaje_kama Nimeokoka ? sasa Tutawezaje kuwatambua walokole halisi ikiwa hali halisi ndo hii na hapo imemtokea Mchungaji vipi kwa waumini????
Daah!! Hii ni aibu kubwa Mno kwa wale WALOKOLE...
Vurugu hizo Zimeibuka Katika kanisa la EBENEZA LA KIPENTEKOSTE... Huku waumini wa kanisa hilo Wakimshusha Mchungaji wao kiongozi anayetambulika kwa jina la MUSA MLEZI kutoka Madhabahuni, kwa shutuma za Kuendesha kanisa hilo kinyume na Maadili na kudhalilisha wanawake...
No comments:
Post a Comment