• Seynation Updates

    Monday 11 January 2016

    KIKOSI CHOTE CHA WASHINDI WA BALLON D'OR NDO HIKI HAPA CHINI...

    Ballon D'or 2015


     FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.
    January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.
    2755020_xbig-lnd
    Hii ni list ya washindi wa tuzo nyingine za FIFA kwa mwaka 2015
    • Golikipa: Manuel Neuer,
      Mabeki: Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves
      Viungo: Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba,
      Washambuliaji: Neymar, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo.
    2754909_full-lnd
    • Kocha bora wa mwaka Luis Enrique wa FC Barcelona
    • Wendell Lira wa klabu ya Atletico Goianiense ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka
    • Mchezaji bora wa mwaka wa kike Carli Lloyd kutoka USA ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
    • 2755024_full-lnd

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI