“Nilikuwa na bajeti ya kwenda nje lakini kutoka na muda uliisha nikaamua kushoot na Hanscana,” alisema Dully Sykes alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV. “Bajeti ya kwenda nje tulikuwa nayo kwa sababu kuna kampuni inanisimamia. Lakini baada ya kuchelewa WCB wakaamua kusimamia ile video mpaka ikatoka,”
Video ya wimbo ‘Inde’ inafanya vizuri kwa sasa ambapo kupitia mtandao wa YouTube imeangaliwa mara 1,737,313 kwa kipindi cha mwezi mmoja na nusu.
No comments:
Post a Comment