Licha ya uwekezaji ambao anaofanya CR7 kwenye vitu mbalimbali bado anataka kufanya kazi nyingine akimaliza kucheza soka.
Akiongea na jarida la Four Four Two wakiwa wanata toleo la review ya mwaka 2016. Mbele ya cover hilo wametokea wachezaji watano ambao ni BVB’s Pierre-Emerick Aubameyang, Bayern’s Jerome Boateng, Barcelona’s Luis Suarez, Leicester’s Riyad Mahrez and finally Real Madrid’s Cristiano Ronaldo.
Lionel Messi hajahusishwa kwenye cover hilo na Ronaldo ametajwa kuwa Man of the Year kwenye magazine hiyo ya Four Four Two. Akijibu maswali mbalimbali ya jarida hilo sehemu nzuri ambayo ilimependwa njinsi alivyojibu ni kuhusu maisha yake ya kazi baada ya soka.
Ronaldo ameonyesha kuvutiwa na maisha ya Hollywood na kusema kwamba baada ya soka angependa kwenda kwenye movie. Ronaldo ambaye kwa sasa ana mkataba hadi mwaka 2021 na Real Madrid ameshawai kufanya matangazo mengi ya biashara ambayo yalihusisha kuigiza kwenye vipande mbalimbali. Pia aliwai kutoa movie ya maisha yake ya soka ambayo imezinduliwa mwaka huu.
Hili moja ya tangazo la biashara ambalo CR7 alionyesha uwezo wa kucheza na camera kama muigizaji. Jina kubwa ambalo amelijenga kwenye sekta ya michezo haitakua njia ngumu kwake kupata nafasi kwenye movie duniani hasa za Hollywood.
No comments:
Post a Comment