Baada ya kuitwanga West Ham mabao mawili kwa Bila, Paul Pogba amewashangaza mapaparazi kwa uvaaji wake wakati anaenda kupata chakula cha usiku na washikaji zake huko Hale.
Pogba sasa amekuwa ni moja ya wachezaji ambao ameeanza kuvutia kwa mashabiki baada ya kuanza kufanya vizuri kwenye michezo yake, Sasa kama unavyojua ukishakuwa na rekodi kubwa ya mauzo duniani lazima Kamera za waandishi ziwe karibu yako, Pogba ameonekana kukerwa na picha ambazo alizokuwa akipigwa.
Ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye FACEBOOK na INSTAGRAM @seynation ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia.
No comments:
Post a Comment