• Seynation Updates

    Thursday 2 February 2017

    FULL VIDEO: Paul Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM.

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 2 2017 amewaita Waandishi wa habari na kuwaambia kuhusu uchunguzi aliofanya kwa wanaotumia na kufanya biashara ya dawa za kulevya kwenye jii la Dar es salaam, mtazame kwenye hii video hapa chini
     Chanzo millardayo.com

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI