• Seynation Updates

    Friday 17 March 2017

    NEW VIDEO: Orezi na Vanessa Mdee - ‘Just like that’

    Kama alivyoahidi Vanessa Mdee kupitia ukurasa wake wa Twitter Leo March 17 anatukaribisha kuitazama video mpya ya wimbo alioshirikishwa na Msanii Orezi kutoka Nigeria ambao unaitwa Just Like That.Unaweza kuitazama hapa na pia usiache kuniachia comment yako ili Vanessa akisoma ajue Watanzania wameipokea vipi hii.>>>>>

    Jiunge na SeyNation

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI