• Seynation Updates

    Saturday 15 July 2017

    SHULE BINAFSI ZAENDELEA KUTIKISA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017.

    Shule ya Wasichana ya Feza Girls imeongoza matokeo ya kidato cha sita kwa watahiniwa wake 67.

    Matokeo hayo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo .

    Shule ambazo zipo kwenye kumi bora ni Marian Girls (Pwani) iliyoshika nafasi ya tano, Mzumbe (Morogoro) nafasi ya sita, St Marry Mazinde Juu (Tanga) nafasi ya saba, Tabora Boys (Tabora) nafasi ya nane, Feza BOYS (Dar es Salaam) nafasi ya tisa na Kibaha ya Pwani iliyoshika namba kumi.


    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI