• Seynation Updates

    Tuesday, 5 December 2017

    ALIYESAMBAZA PICHA ZA HOSTELI AZIDI KUKOMALIWA



    Mwanafunzi na Mbunge wa wanafunzi Dawson Kumbusho amehamishwa kituo cha Polisi kutoka Oysterbay na kupelekwa kituo cha kati (Central) leo asubuhi baada ya kuripoti kituoni hapo kama jinsi ambavyo alivyotakiwa hapo jana baada ya kupewa dhamana.
    Habari za Kumbusho kuhamishwa nwa kituo zimethibitisha mtu wake wa karibu ambaye amesema kwa sasa Kumbusho yupo Central akitoa maelezo.
    "Kumbusho yupo central kwa sasa anaendelea na taratibu za kutoa maelezo. Kosa lake hadi sasa ni kusambaza picha za hostel mpya zikiwa na ufa" Kimesema chanzo hicho
    Ameongeza kwamba "Asubuhi saa mbili aliripoti kituo cha polisi Oysterbey kama alivyotakiwa jana baada ya kuwekewa dhamana na Spika wa bunge la DARUSO, na waliandaa file lake na kumwamishia central"

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI