• Seynation Updates

    Saturday 13 January 2018

    KIHELEHELE KWA MSICHANA KITAKUFANYA USIOLEWE



    Ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.

    Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa.

    Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana na mwenye kihelehele kupita kiasi ana nafasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)

    Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii.

    Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa. 

    Source: UdakuSpecial Blog

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI