• Seynation Updates

    Monday, 15 January 2018

    VIPI KUHUSU UJIO WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017/2018 NA KUTANGAZWA??




    Mitihani ya upimaji ya wanafunzi  wa kidato cha nne 2017 NECTA iliyofanyika mwezi wa kumi 2017.Matokeo yake yanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni endelea kuwa karibu na blog/App hii ili uje uwe wa kwanza kuyapokea.
    Aidha pia waweza KU DOWNLOAD APP yetu kwa kubofya kitufe hapo chini



    Pia Follow Us On Instagram @seynation

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI