Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alishinda Ballon d’Or yake ya tano mwaka jana, lakini amejiona akipoteza nje ya wachezaji watatu wa juu katika soka ya dunia.
Ronaldo sasa analipwa pauni milioni 21 kwa kila msimu, ambayo inamfanya ashike nafasi ya tano kwenye orodha ya fedha ya wachezaji.
Rais wa Real Madrid, Florentino Perez alimuahidi kumuongezea pesa katika mshara wake lakini mpaka sasa bado hajafanya hivyona ndo kinacho mfanya Ronaldo kutaka kurudi Old Trafford.
Mreno huyo ambaye amekuwa akionyesha juhudi katika misimu hii ya hivi karibuni anaonekana kutaka kurudi katika ligi ya uingereza toka alipopata kesi ya kutokulipa kodi huko jijini Madrid
No comments:
Post a Comment