Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kiasi cha shilingi trilion 7.87 katika kipindi cha miezi sita ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia mwezi Julai 2017 hadi Desemba 2017.Kiasi hicho ni sawa na ongezeko la asilimia 8.45 ikilinganishwa na kipindi kama hicho katika mwaka wa fedha 2016/17 ambapo shilingi trilion 7.27 zilikusanywa
Monday, 8 January 2018
HARDNEWZ
No comments:
Post a Comment