Msanii wa muziki, Harmonize alihudhuria sherehe ya ndoa ya Shilole na Uchebe, ambapo ametoa zawadi ya tsh milioni 9 kwaajili ya kununua gari aina ya Noah ili liwasaidie wawili hao katika shunguli zao biashara.
Monday, 15 January 2018
MASTAA
No comments:
Post a Comment