• Seynation Updates

    Monday 19 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 05 (18+)

    Image may contain: 2 people, people smiling, text



    ....hapo Yenda akaingia kwenye maji akimsubili mpenzi wake ambae aliondoka nakuelekea nyumbani lakini akiwa anakaribia nyumbani, akashangaa kuona kaka yeke akiwa na vijana wenzake, moja wao ni kijana NJENJE, (uta msoma, katika mkasa wa PENZI LA BINTI NGUVA hapa hapa SEYNATION mkali )ambae alikuwa ni mmoja ya watu ambao walisha jaribu kurusha ndoano zao, kwaajili ya kulinasa penzi lake, lakini waliambulia patupu, vijana hao walikuwa wanafanya mazoezi ya kupigana, kwakutumia mapanga, huku wakitumia mkono moja, nikama walikuwa wana jiandaa kwamapambano flani, yaliyopo mbele yao, Isabelah akiwa na ndoo yake kichwani, hakuwa jari alipitiliza na kuingia nyumbani kwao, pasipo kujuwa kuwa kuna kitu ambacho kilikuwa kimekusudiwa juu ya mwenendo wake na penzi lake na kijana Yenda, ata alipopita walimwangalia kwamacho makali, huku wakiendelea kupigana kwapanga zao, wakionyesha ustadi wahali yajuu sana, mioyoni mwao hawakuhacha kumsimanga binti huyu, ambae hakuwa na habari nao, vijana hawa Njenje, na Kinje, walijitolea kumsaidia Kado kuakikisha wanafahamu siri ya kiburi cha Isabelah yakukataa wanaume, kwa amri ya bibi yake Isabelah bibi MBUYAMUNDU,kazi hiyo iliyokuwa imeanza miezi mitatu nyuma ilikuwa ngumusana kufanikiwa, kwasababu Isabelah na Yenda walikuwa wajanja sana, asa unapo wavizia, hapo YENDA alizama kwenye maji na kupotea, walipo fika walimkuta Isabelha pekeyake, nabahati mbaya Isabelhah alinogewa na penzi la kijana huyu, japokuwa alifahamu fika kuwa nisamaki mtu, lakini alihapa kuto mwacha, asa kutokana na penzi alilokuwa akimpatia, licha ya kupenda jinsi wanayo peana utamu, pia alimpenda kijana huyu kwasababu alikuwa mpole mwenye huruma pia alimpatia chochote alichokiitaji, vijana wale wakiwwa na wivu wakuzidi, waliangaika usiku namchana kutafuta alie wazidi kete, lakini hakufanikiwa, ataleo sababu ya Yenda kuchelewa, ilikuwa hivi kumbe YENDA aliefika apema kabla ata ya Isabelah kufika, alikaa juu yajiwe lililopo kwenye maji akimsubili mpenzi wake, lakin kabala ataIsabelah hajafika, akasikia sauti za watu wakija mtoni, namapanga mkononi, hapo sasa kabla awajamuona, haraka sana akazama chini yamaji, nakwenda kuibukia mbali kidogo, kwenye kundi la matete, nakuanza kuwaangalia wale vijana,aliweza kuwaona wakitazama eneo lile la mto, kama kkuna kitu wana tafuta, kisha wakainyeshana sehemu ya kwenda kujificha, wote wakaingia sehemu hiyo na kuchukuwa maficho, dakika chache baadae Yenda akamwona, mpenzi wake Isabelah akija hku mkononi akiwa amebeba ndoo, kama hilivyo kawaida yake, anapokuja mtoni kuonananaye, alitulia pale akimwangalia Isabelah na wale vijana ambao muda wote macho yao yalikuwa yakiangalia huku na huku, kuona mawindo yao yatatokea wapi, alituliahapo mpaka alipo mwona Isabela akiinuka nakuingia mtoni kuchota maji, huku wale vijana kuona hivyo wakondoka haraka pasipo Isabelah kuwaona, ndipo naye alipo zamia kwenye maji na kwenda kumwai mpenziwake, Isabela alaipofika nyumbani, alikiona alichotegeme akukiona, ni kumkuta bibi yake amenuna, wakati huo alimwona kaka yake akija kwa kasi na hasira,....haya wadau makasa una zidi kusonga ebu tuone kama vijana hawa wenye wivu wata fanikiwa kumgunduwa mpenzi wa Isabelah... chakufanya ukimaliza like na Comment ili hii Story itoke kila cku bila ya sapoti yako itachelewa kutoka....?
    USIKOSE SEHEMU YA O6

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI