• Seynation Updates

    Monday 19 February 2018

    MAPENZI YA WARUNDI KWA JUX



    Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Jux amepewa love ya kutosha weekend iliyomalizika wakati alipokuwa akifanya show nchini Burundi.
    Muimbaji huyo wa ngoma ‘Utaniua’ amesema licha ya mvua kunyesha bado watu walijitokeza kwa wingi kushuhudia burudani kutoka kwake.
    Katika moja ya video alizoweka Jux katika social network zake anaoneka akivalishwa ‘vitu’ vya asili mkono pamoja na kichwani kama ishara ya heshima na kutambua uwepo wake nchini humo.
    “We made a history nashukuru kwa heshima yenu ya kuniimbia wimbo wa taifa kama heshima yenu kwangu na hii haijawahi kutokea kwa Msanii yoyote yani yote aliyeshawahi kuja burundi Asanteni sana sana,” amesema Jux.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI