• Seynation Updates

    Monday 21 May 2018

    Kinachomkuta HOSEA Anaendesha Page ya Udaku_tz ya Instagram.

    Tokeo la picha la WANTED
    Inasemekana Mmiliki na muendeshaji wa Instagram Account ya Udaku_tz yupo chini ya ulinzi wa Polisi kufuatia kukamatwa na kuhojiwa  kwa masaa  kadhaa. Mshitakiwa huyo amewataja Babu Tale na Sallam Sk kuhusika katika kupenyeza na kusambaza Video ya udhalilishaji dhidi ya msanii Nandy na Billnass.

    Washtakiwa hao wanaombwa kujitokeza Polisi ili kuelezea  ni kwa namna gani video hio ilipatikana pamoja na nia na madhumunu ya kufanya hivyo..

    SOURCE. SOUDY BROWN


    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI