• Seynation Updates

    Tuesday 1 May 2018

    MFAHAMU MSANIII WA BONGO FLEVA ANAYEITIKISA MAREKANI.

    Babbi ni msanii ambaye anawakilisha vizuri muziki wa Bongo Flava pande za nchini Marekani. Msanii huyo mpaka sasa tayari ameshaachia zaidi ya ngoma tano na video zake kali.


    Muimbaji huyo ambaye pia anamiliki lebo ya kusimamia wasanii wa muziki, anatarajia kuachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Mbwira’ ambayo ameitengeneza nchini humo na kuongozwa na JD Films. Hizi ni baadhi ya picha ambazo zitaweza kuonekana katika video hiyo.
    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA






    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI