• Seynation Updates

    Monday 14 May 2018

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa chuo cha ATC - Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo cha Ufundi Arusha – ATC.
    Prof. Tumbo ni Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC).
    Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Mhandisi Musa Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).



    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI