• Seynation Updates

    Sunday 13 May 2018

    SALAMU ZA POLE KWA MONI CENTROZONE BAADA YA KUPATA AJALI

    Msanii wa bongo fleva Moni Centrozone Anayetamba na ngoma yake mpya ya Kimasta,  alipata ajali baada ya kupitiwa na tairi la gari na kumjeruhi mguu wake wa kulia ambapo sehemu alizo umia ni Goti na Ankle..


    Msanii huyo alikua na show ambazo ilimpasa azifanye lakini kutokana na ajali hio ameomba msamaha kwa mashabiki zake kwani hali yake sio nzuri sauna.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI