Mtoto wa kwanza wa marehemu Kibonde, Ephraim amefunguka kwa kusema kwamba baba yake aliwa nyumbani alikuwa ni mcheshi kuliko hata nje.
Mtoto huyo alisema kwamba hatomsahau baba yake kwa jinsi ambavyo alikuwa mchapakazi na mara ya mwisho alipowasiliana nae alimwambia kuwa anajiandaa kurudi Dar.
Mwili wa Kibonde umewasili jijini Dar usiku wa jana ukitokea mkoani Mwanza ambapo ndipo mauti yalipomkutia na unatarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi Machi 08, katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment