Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepokea ombi la Abdulrahman Kinana la kustaafu majukumu na nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM ambapo ombi hilo limeridhiwa, pia Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa chama hicho amemtakiwa mapumziko mema.
Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment