• Seynation Updates

    Sunday 29 November 2015

    UKWELI HALISI JUU YA MABUNDA YA NOTI ZA KIMAREKANI ZILIZO KAMATWA KWENYE NDOO.

    Ukweli halisi juu ya mabunda ya dola za kimarekani zilizo kamatwa kwa mmoja wa watuhumiwa wa Mtandao wa wizi Bandarini na TRA. NI KWAMBAAA Mabunda hayo ya Noti yalikamatwa jijini YORK PORTLAND huko MAREKANI na SIO BONGO mwezi WA TISA mwaka 2010 na SIO 2015
    KWA ZAIDI YA UKWELI BONYEZA HII LINK http://www.pressherald.com/2010/09/04/state-police-seize-about-_1-million_2010-09-04/

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI