Arsenal watakuwa nyumbani dhidi ya Sunderland
Arsenal watakuwa nyumbani Emirates dhidi ya Sunderland, Manchester United nao wakialika West Ham ugani Old Trafford.
Chelsea watajaribu bahati yao nyumbani Stamford Bridge dhidi ya vijana wapya ligi kuu Bournemouth.
Manchester City wanaoongoza jedwali na alama 29 watakuwa ugenini Stoke City huku Leicester wanaokwamilia nafasi ya pili na alama 29 wakikaribishwa Swansea.
Man Utd ndiyo inayoshikilia nambari tatu na alama 28 ikifuatwa kwa karibu na Arsenal waliozoa alama 27.
Hii hapa ndiyo ratiba kamili ya mechi za wikendi hii:
Jumamosi 5 Desemba 2015
Stoke v Man City 12:45
Arsenal v Sunderland 15:00
Man Utd v West Ham 15:00
Southampton v Aston Villa 15:00
Swansea v Leicester 15:00
Watford v Norwich 15:00
West Brom v Tottenham 15:00
Chelsea v Bournemouth 17:30
Jumapili 6 Desemba 2015
Newcastle v Liverpool 16:00
Jumatatu 7 Dec 2015
Everton v Crystal Palace 20:00
Friday, 4 December 2015
Home
Unlabelled
Arsenal na Man Utd kuwa mawindoni Jumamosi
No comments:
Post a Comment