Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania afanya Ziara ya Kushtukiza kwenye bandari ya DSM mapema hii leo.
hii imekuwa ni kama Desturi kwa Viongozi wa Serikali ya Awamu ya TANO hasa wale wa Ngazi za juu
kufanya ziara za Dezaini hii
By: Omega Thomson
Friday, 27 November 2015
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI
No comments:
Post a Comment