Ikiwa ni Kabla ya Tamasha la "INSTAGRAM PARTY"
kufanyika DSM yaani hapo kesho tarehe 28/11/2015
waandaaji wa tamasha hilo(Kampuni ya Freconic Ideaz)
wamesema kuwa tamasha hilo halitaishia DSM bali
litafanyika pia hata kwenye mikoa mingine ambayo ni
Mwanza, Morogoro,Tanga, Dodoma na Iringa.
INSTAGRAM PARTY DAR ES SALAAM KESHO YAANI TOMMOROW
"BONGO THROW BACK"
"BoNgO tHrow BAcK"
No comments:
Post a Comment