• Seynation Updates

    Friday 2 February 2018

    RADIO KUZIKWA KESHO JUMAMOSI, WIZKID KAFUNGUKA MAZITO



    Wizkid ameonyesha hisia zake za kuumizwa na msiba huo, kutokana na ujumbe ambao ameuandika kupitia mtandao wake wa Instagram ukiwa unaosomeka, “Rest in paradise my brother Radio! 💔…Speechless… Love u forever star! ❤️ !! Nothing can ever be the same! ! Superstar lives forever….”


    Radio alilazwa katika Hospital Kuu ya Uganda akipatiwa matibabu tangu January 23 mwaka huu ambapo hali yake ilidaiwa kuwa mbaya kufuatia majereha aliyoyapata kutokana na ugomvi uliotokea klabu huko mjini Entebbe.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI