• Seynation Updates

    Thursday, 3 December 2015

    FILAMU YA UCHUMBA WA OBAMA KUTOLEWA MWAKANI (2016)

    SUMPTER akiigiza kama MICHELLE na SAWYERS akiigiza kama OBAMA. Filamu hiyo kwa jina Southside With You inaigiza yaliyojiri adhuhuri moja majira ya joto 1989 pale Obama alipomchumbia mkewe wa baadaye Michelle Robinson, mjini Chicago. Filamu nyingine zitakazoonyeshwa ni Swiss Army Man, ambapo mwigizaji mashuhuri Daniel Radcliffe anaigiza kama maiti. Makala ya 2016 ya maonyesho ya Sundance yatafanyika 21 hadi 31 Januari katika Park City, Utah. Maonyesho hayo yaliasisiwa na mwigizaji Robert Redford. Tika Sumpter anaigiza Michelle naye Parker Sawyers Bw Obama.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI