• Seynation Updates

    Monday 28 December 2015

    MAMA AKE DIAMOND KUPEWA "SCENE" YA KUIGIZA.....

    DIAMOND21


    Kufuatia uwezo mkubwa aliouonyesha Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum, Sanura Kasim kwenye kipande cha video ya wimbo mpya wa diamond , utanimpenda ambapo mama huyo ameigiza kwa kuuvaa uhusika wa mama mwenye maisha magumu ambaye anatafuta msaada akiwa na mtoto mgongoni kitu ambacho kimeshika hisia za watazamaji wengi na wengi kumuona kama ni mama mwenye uwezo mkubwa wakuigiza, mmoja wapo ni mtangazaji na muuandaaji wa filamu hapa Bongo, Zamaradi Mtetema ambaye amekiona kipaji cha mama huyu na kuahidi kumtafuta ili wafanye kazi.


    “Mama kumbe kipaji cha kuigiza kipo hahaha i just love your part aise.. Nina movie yangu ntakufata tuongee vizuri kwakweli ðŸ˜†.. anyways i love the song na the way mmecheza na real life ndani..”-Zamaradi aliandika hayo kwenye ukursa wake mtandaoni mara tu baada ya kuiona video ya wimbo huo nakuweka picha ya kwenye kipande cha video hiyo ikimuonyesha mama Diamond akiwa anafokewa na Mkubwa Fella.
    MAMA DIAMOND55
    MAMA DIAMOND342



    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI