• Seynation Updates

    Monday, 28 December 2015

    NENO MOJA KUTOKA KWA WAZIRI WA ELIMU MH. JOYCE NDALICHAKO....... MARA BAADA YA KUAPISHWA......# azungumzia juu ya ADA ELEKEZI kwa SHULE Binafsi..

    Tokeo la picha la JOYCE NDALICHAKO
    Mh.Joyce Ndalichako

    Mh.Joyce Ndalichako leo ameweza kuligusia swala la ada elekezi kwa shule binafsi....Asema kuwa atakaa na wamiliki wa shule binafsi na kulijadili vizuri swala la ada, na pia wamiliki wa shule binafsi wasichukulie kuwa na shule, ndo nafasi ya kuwakomoa wazazi..Asema pia Wamiliki wa shule binafsi wawe na mioyo ya uzalendo, na kupunguza michango isyo na tija .. 

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI