TAMASHA LA AMANI NA MATUMAINI
Ni Bonge moja la TAMASHA hasa kwa wale wakazi wa BUKOBA MJINI pale LINAS CLUB Mida ya saa 8 Mchana hadi Jioni....
Huku tukimsifu BWANA.... na zile HEALING SONGS
Wakubwa: Tsh. 2000/= Watoto Tsh: 1000/=
#NJOONI TUMSIFU BWANA
Monday, 28 December 2015
Home
Unlabelled
AISEEEEE!!!!! BUKOBA, HII SI YA KUKOSA..... #fungua_mwaka_Concert AMANI NA MATUMAINI..
No comments:
Post a Comment