• Seynation Updates

    Monday 7 December 2015

    NEWS uPDATES:: TANZANIA LEADERSHIP AWARDS TAR 11 DECEMBER 2015.......

    TZawards
    December 11 2015 ndio itakua siku yenyewe ya Viongozi/Wafanyabiashara na Taasisi mbalimbali kupewa tuzo za kutambua mchango wao kwenye ishu mbalimbali walizozifanya kitofauti katika kuleta mabadiliko kwenye jamii ya Watanzania.
    Ni tuzo ambazo zitagusa mpaka makampuni ambayo yanamiliki Mabango yanayotumika kutangaza biashara mbalimbali barabarani, vituo vya TVMagazeti yaliyofanya vizuri pamoja na Taasisi nyingine.
    Tz Leadership Awards

    Endelea Kufuatilia SeyNation.blogspot.com  kwa Updates zaidi.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI