Swansea
Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaaa, ambapo jumamosi
Norwich cty itaikaribisha Everton, Crystal Palace watakuwa wenyeji wa Southampton, Man City watawaalika Swansea city , Sunderland watawakaribisha Watford, West Ham united itakuwa nyumbani dhidi ya Stoke city, na Bournemouth wataikabili Man United.
Na jumapili ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo mitatu ambapo Aston Villa watakuwa wenyeji dhidi ya Arsenal, Liverpool watakuwa nyumbani Anfield dhidi ya West Brom,na Tottenham watawaalika Newcastle united.
Ratiba kamili ndiyo hii hapa (Saa za Afrika Mashariki):
Jumapili 13 Desemba 2015
Jumatatu 14 Desemba 2015
|
Friday, 11 December 2015
Home
Unlabelled
RATIBA YA LIGI KUU YA ENGLAND KWA SAA ZA KIBONGO(Afrika Mashariki)
No comments:
Post a Comment