• Seynation Updates

    Wednesday 14 September 2016

    DIAMOND PLATNUMZ APINDULIWA NA DAVIDO KAMA MSANII MWENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM

    Tokeo la picha la diamond and davido  Msanii wa Nigeria, Davido amefanikiwa kufikisha follower milioni 2.9 kwenye mtandao wake wa Instagram na kuwa muimbaji wa kwanza Afrika kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao huo.
    davido
    Mpaka wiki iliyopita nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz mwenye follower 2.7 milioni kwenye mtandao huo lakini kwa sasa atashika nafasi ya pili.
    Mpinzani wa karibu wa Davido, Wizkid ana followers milioni 2.5.
    Waimbaji wengine wenye followers zaidi ya milioni moja ni:
    Don Jazzy 2.2 milioni
    Tiwa Savage 2.2 milioni
    Vanessa Mdee 1.8 milioni
    Alikiba 1.4 milioni
    Yemi Alade 1.2 milioni

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI