• Seynation Updates

    Thursday 15 September 2016

    Samatta kuiongoza Genk makundi Europa League leo

    Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, leo anatarajiwa kuiongoza tena KRC Genk katika mchezo wa kwanza wa Kundi F la Europa League dhidi ya wenyeji, Rapid Vienna nchini Austria.

    Samatta amesema wamepangwa kundi gumu tofauti na watu wanavyofikiria.
    Mchezo mwingine wa kundi hilo, Sassuolo ya Italia watakuwa wenyeji wa Athletic Bilbao ya Hispania katika Uwanja wa Citta.
    Kwa upande wa kundi A, Manchester United itakuwa ugenini nchini Uholanzi kuvaana na Feyenoord


    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI