Ni hali ya kusikitisha mtu wangu wa nguvu.... Hali ya Tetemeko imeweza kutokea Bukoba katika Usiku wa Kuamkia tar 12/09/2016... Tetemeko hilo hilo lilikua si la muda mrefu kwani lilitokea chini ya dakika 1...Kutokana na Hali hio Baadhi ya Wananchi Walilazimika Kulala Nje ili kujinusuru na lolote ambalo lingeweza kutokea .
Monday, 12 September 2016
Home
Unlabelled
TETEMEKO LAJITOKEZA TENA BUKOBA KATIKA USIKU WA KUAMKIA LEO, FAMILIA ZALALA NJE KUNUSURU MAISHA YAO (AUDIO)
No comments:
Post a Comment