• Seynation Updates

    Tuesday 20 September 2016

    YAYA TOURE ASTAAFU SOKA

    Kiungo wa Manchester City Yaya Toure mwenye miaka 33, ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa.

    Toure aliichezea timu yake ya taifa kwa mara ya kwanza mwaka 2004, na baada ya miaka 10 yaani mwaka 2014 alikabidhiwa unahodha kutoka kwa Didier Drogba.yaya-toures

    Mwaka 2015  aliiongoza Timu ya Taifa ya Ivory Cost kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza tangu 1992. Hadi anastaafu soka la kimataifa tayari Yaya Toure ameichezea Ivory Coast mara 113.

    MANCHESTER, ENGLAND - MAY 24: Yaya Toure of Manchester City applauds supporters as he is replaced during the Barclays Premier League match between Manchester City and Southampton at Etihad Stadium on May 24, 2015 in Manchester, England. (Photo by Shaun Botterill/Getty Images)

    Wakati huohuo Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesema hatomchezesha Yaya Toure mpaka kwanza aombe radhi kufuatia matamshi yaliyotolewa na wakala wake.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI